Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo amepokea Gawio la shilingi Bilioni 2.1 kutoka TTCL.

Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo amepokea Gawio la shilingi Bilioni 2.1 kutoka Shirika la mawasiliano ya simu Tanzania TTCL , ikiwa ni faida iliyotokana na maboresho makubwa yaliyofanywa na shirika hilo, hivyo kujiendesha kwa faida tofauti na awali wakati lilipokuwa limebinafsishwa. Rais Magufuli ameelezea kufurahishwa kwake na[…]

Wizara ya ujenzi, uchukuzi na mawasiliano imewaagiza mafundi simu nchini, kujisajili katika Ofisi za Mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA), ili kudhibiti uhalifu unaofanyika kwa njia ya mitandao.

Kilio kikubwa kwa Watanzania wengi hivi sasa ni kupokea ujumbe mfupi wa maneno kupitia simu za mkononi, kutoka kwa baadhi ya matapeli wakiomba kutumiwa fedha kama njia ya kujikumu kimaisha. Kutokana na wimbi hilo Naibu Waziri wa ujenzi, uchukuzi na mawasiliano Atashasta Nditie, hapa anakutana na Chama cha mafundi simu mkoa wa Mwanza, ili kutafuta[…]

Rais Dkt.John Pombe Magufuli, leo ameshuhudia makabidhiano ya mfumo wa usimamizi wa mawasiliano ya simu kutoka kwa makandarasi waliotengeneza mfumo huo ambao umekabidhiwa kwa Mamlala ya Mawasiliano Tanzania TCRA.

Rais Dkt.John Pombe Magufuli, leo ameshuhudia makabidhiano ya mfumo wa usimamizi wa mawasiliano ya simu kutoka kwa makandarasi waliotengeneza mfumo huo ambao umekabidhiwa kwa Mamlala ya Mawasiliano Tanzania TCRA wenye lengo la kudhibiti huduma za mawasiliano na kukabiliana na changamoto zinajitokeza kutokana na mabadiliko ya teknolojia. Akizungumza jijini Dar es Salaam mara baada ya kutiliana[…]

Makundi ya mitandao ya kijamii yameshauriwa kutoitumia mitandao hiyo kwa kupashana habari peke yake

Makundi ya mitandao ya kijamii yameshauriwa kutoitumia mitandao hiyo kwa kupashana habari peke yake ,badala yake waitumie pia katika kuwaunganisha pamoja na kuhamasishana kubuni na kuanzisha miradi ya kimaendeleo kama,kilimo,biashara na ufugaji ili wajikwamue kiuchumi waondokane na umaskini. Mkuu wa wilaya ya Moshi Kippi Warioba,ametoa ushauri huo wakati akifungua semina ya kwanza ya kundi la[…]