TRA

Makusanyo TRA Yafika Trioni 7.27 Takwimu zaonyesha ongezeko la asilimia 12.74

Mamlaka ya Mapato Tanzania katika kipindi cha miezi sita ya mwaka wa fedha 2016/17 yaani kuanzia Julai hadi Desemba 2016, imekusanya kodi ya jumla ya shilingi Trulioni 7.27. Akizungumza na waandishi wa habari, Mkurugenzi wa huduma na elimu kwa mlipa kodi kutoka mamlaka ya mapato Tanzania, Richard Kayombo, amesema ukusanyaji wa mapato katika kipindi cha[…]

SC1

Serikali imefuta mwongozo wa matumizi ya mihuri kwa wenyeviti wa serikali za mitaa au kijiji

Serikali imefuta mwongozo wa matumizi ya mihuri kwa wenyeviti wa serikali za mitaa au kijiji kutotumia mihuri katika utoaji wa huduma mbalimbali kwa wananchi kufuatia kuwepo kwa baadhi yao kuitumia vibaya na kusababisha migangano ikiwemo migogoro ya ardhi. Akizungumzia uamuzi huo Waziri wa nchi ofisi ya Rais TAMISEMI George Simbachawene amesema baada ya kutafakari kwa[…]

Screen Shot 2017-01-17 at 4.12.16 PM

Chama cha Waalimu Tanzania (CWT) kimeitaka serikali kuhitimisha zoezi la uhakiki vyeti ndani ya mwezi huu

Chama cha Waalimu Tanzania (CWT) kimeitaka serikali kuhitimisha zoezi la uhakiki vyeti ndani ya mwezi huu ili ianze kuwalipa walimu stahili zao sambamba na kuwaajiri walimu wapya ili kuwapunguzia walimu mizigo Akitoa taarifa kuhusu madai ya walimu na upungufu wa walimu shuleni, kaimu katibu mkuu CWT, Mwalimu Ezekiah Oluochi amesema ni vyema serikali ionesha tofauti[…]

IMG_3565

Waziri Mbarawa ameahidi kubadilisha uongozi wa ngazi ya juu wa shirika la posta Tanzania baada ya kubaini hili

Waziri wa ujenzi, uchukuzi na mawasiliano Prof. Makame Mbarawa ameahidi kubadilisha uongozi wa ngazi ya juu wa shirika la posta Tanzania baada ya kubaini kwamba uongozi uliopo umeshindwa kulipeleka shirika hilo mbele. Prof. Mbarawa ametoa kauli hiyo baada ya kutembelea shirika hilo alilojitaja kuwa lina raslimali nyingi ambazo zimeshindwa kutumika ipasavyo kutokana na kukosa uongozi[…]