5768bf4db47943939a69e4565db34bbc_18

Wanajeshi waasi Ivory Coast waafiki makubaliano na Serikali

Wanajeshi walioasi nchini Ivory Coast wamefikia makubaliano na serikali ya nchi hiyo juu ya kuutatua mgogoro wa malipo uliotishia kusababisha uasi wa wanajeshi nchini humo. Wawakilishi wa wanajeshi hao walioasi wamesema makubaliano hayo yalifikiwa baina ya wanajeshi na ujumbe wa serikali ulioongozwa na waziri wa ulinzi wa nchi hiyo Alain- Richard Donwahi. Mazungumzo hayo yalifanyika[…]

kenya-doctors-2

Mgomo wa madaktari Kenya Madaktari wakataa nyongeza iliyopendekezwa

Viongozi wa chama cha Madaktari nchini Kenya kimekataa nyongeza ya mshahara iliyotanazwa na Serikali ya Kenya kupitria Rais Uhuru Kenyatta ambapo katika mkutano wao Jumanne Serikali iliazimia nyongeza ya mshahara ifikie angalau dola za marekani 560. Uongozi wa chama hicho uliahidi kutangaza msimamo wao leo, ambao umesema pendekezo hilo linawafaa madaktari lakini bado kuna baadhi[…]