Rais wa Gambia atangaza hali ya Hatari

Rais wa Gambia Yahya Jammeh ametangaza hali ya hatari kwa siku 90 (miezi mitatu) ikiwa imebaki siku moja kabla ya kumaliza muda wake wa uongozi. Jammeh alishindwa na mpinzani wake katika uchaguzi uliofanyika mwezi wa Disemba. Viongozi mbalimbali wa Afrika wameshindwa kumshawishi akabidhi madaraka kwa Adama Barrow ambaye alishinda katika uchaguzi. Taarifa zaidi katika tutawaletea[…]

Wanajeshi waasi Ivory Coast waafiki makubaliano na Serikali

Wanajeshi walioasi nchini Ivory Coast wamefikia makubaliano na serikali ya nchi hiyo juu ya kuutatua mgogoro wa malipo uliotishia kusababisha uasi wa wanajeshi nchini humo. Wawakilishi wa wanajeshi hao walioasi wamesema makubaliano hayo yalifikiwa baina ya wanajeshi na ujumbe wa serikali ulioongozwa na waziri wa ulinzi wa nchi hiyo Alain- Richard Donwahi. Mazungumzo hayo yalifanyika[…]