Afukua kaburi la mtoto wake na kuchukua maiti

WANAMKE mmoja aliyefahamika kwa jina la Luth Sekeleketi  mkazi wa Mbalizi Mkoani Mbeya anashikiliwa na Jeshi la Polisi  kwa  tuhuma za kufukua  kaburi  alilozikwa mwanae baada ya kufariki, na kuchukua mwili  akiamini ataombewa na wachungaji  na kufufuka. Tukio hili la kusikitisha na kustaajabisha limetokea katika kijiji cha Shigamba Mbalizi  Mkoani Mbeya ,ambapo inadaiwa kuwa marehemu[…]

Wananchi waendelea kuwa na imani na wawekezaji MERERANI

Wananchi na viongozi wa mji mdogo wa Mererani wilayani simanjiro wamesema bado wana imani kubwa na wawekezaji wazawa wa madini ya Tanzanite  kutokana na mahusiano ya kijamii waliyonayo  katika kusaidia sekta za elimu, afya na miundombinu  na kutahadharisha kuwa Hawako tayari kukatishwa tamaa na viongozi wasio watakia mema maendeleo yao. Wakionesha baadhi ya miradi iliyotekelezwa[…]

Mstahiki Myeya wa Dar es salaam awasihi wazazi kuacha kuwapa vitu vya anasa watoto wao ili wazingatie masomo

Mstahiki meya wa jiji la Dar Es Salaam,ISAYA MWITA, amewasihi wazazi wa mkoa wa Dar Es Salaa, hususani wenye uwezo Kuacha kuendekeza tabia ya kuwapa vitu vya anasa watoto wao, kwani vitendo hivyo vimechangia sehemu kubwa ya watoto husika kufanya vibaya katika masomo na mitihani yao na kuacha kufanya mzaha na elimu. Mstahiki Meya Mwita,[…]