Mustakabali wa Kisiasa nchini Ethiopia.

Baada ya kuzindua mageuzi makubwa ya historia nchini Ethiopia, Waziri Mkuu Dkt. Abiy Ahmed, anakabiliwa na vitisho kufuatia mauaji ya mkuu wa jeshi na tuhuma kufuatia jaribio la mapinduzi katika Jimbo la Amhara, mambo ambayo yanaweza kupunguza kasi ya mchakato wake wa mageuzi. Waziri Mkuu Abiy amekuwa akipongezwa kuwa kiongozi mwenye maono, anayependa mageuzi ambaye[…]

Shirika la Ndege Tanzania ATCL leo limezindua rasmi safari za ndege kutoka Dar es ealam kwenda Afrika kusini Johansburg .

Shirika la Ndege Tanzania ATCL leo limezindua rasmi safari za ndege kutoka Dar es ealam kwenda Afrika kusini Johansburg ambapo ndege aina ya air bus 220 ndio itatumika zaidi katika safari hizo. Akizungumza na waandishi wa habari muda mfupi kabla ya kuanza kwa safari hiyo ya kwanza kwenda Afrika Kusini Naibu waziri wa uchukuzi na[…]

Raia Tisa wa Tanzania pamoja na raia wawili wa nchini Msumbiji wameuwawa na watu wasiojulikana.

Raia Tisa wa Tanzania pamoja na raia wawili wa nchini Msumbiji wameuwawa na watu wasiojulikana huku watanzania wengine sita wakijeruhiwa vibaya katika kijiji cha Mtole kilichopo upande wa Msumbiji mpakani mwa Tanzania na Msumbiji. Mkuu wa jeshi la polisi nchni IGP Saimoni Siro amefika mkoani Mtwara kufuatilia tukio hilo lililotokea tarehe 26 june mwaka huu.[…]

Baraza la sanaa la Taifa BASATA limewataka wasanii kote nchini kuzitambua haki zinazopatikana kwenye kazi wanazozifanya.

Baraza la sanaa la Taifa BASATA limewataka wasanii kote nchini kuzitambua haki zinazopatikana kwenye kazi wanazozifanya ili ziweze kuwaletea maendeleo, lakini pia ziweze kulinufaisha taifa kiuchumi. Rai hiyo imetolewa imetolewa na Mwenyekiti wa Bodi ya BASATA Habby Gunze wakati wa kikao kazi kilichowashirikisha wadau wa sanaa pamoja na viongozi wa bodi hiyo kwa lengo la[…]

Rais wa China XI Jimping na Viongozi wa wengine wa Dunia wanakutana Osaka- Japan.

Rais wa China Xi Jinping na viongozi wengine wa Dunia wanakutana katika mji wa Osaka huko Japan kwa mkutano wa kilele wa nchi ishirini zenye uchumi mkubwa duniani yaani G20. Mkutano huo unatarajiwa kufunikwa na mizozo ya biashara na siasa za kikanda. Rais Donald Trump alitarajiwa kuwasili baadae leo na anatarajiwa kukutana na Bw. Xi[…]

Wanafunzi watakiwa kuchangamkia Fursa za ujuzi.

Wanafunzi wa vyuo Vikuu na Taasisi za elimu ya juu wametakiwa kushiriki katika miradi mbalimbali inayolenga kuwajenga kiujuzi na kitaaluma katika mambo ya ujasiriamali na hatimaye kuweza kujiajiri na kufanya vyema kwenye soko. Wakizungumza na channel ten, wanafunzi wa chuo kikuu cha tumaini kampasi ya jijini dar es salaam TUDARCO ambao wamejishindia shilingi za Kitanzania[…]

Mkuu wa mkoa wa Rukwa,amefanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Barabara.

Mkuu wa mkoa wa Rukwa, Joachim Wangabo amefanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa barabara ya Sumbawanga Matai Kasanga km 107 inayojengwa kwa kiwango cha lami ambayo imechukua zaidi ya miaka tisa kukamilika na sasa ujenzi huo umefikia asilimia themanini na saba, mkuu wa mkoa amemuagiza mkandarasi kufanya kazi usiku na mchana ili aweze[…]