Hoja ya kulivunja Bunge Israel .

Israel italazimika kufanya uchaguzi mpya mnamo mwezi Septemba mwaka huu, baada ya wabunge kupitisha hoja ya kulivunja bunge kufuatia Waziri mkuu Benjamin Netanyahu kushindwa kuunda serikali ya muungano leo. Bunge la Knesset limeidhinisha kura ya awali ya kuvunjwa kwake na kuifanya nchi hiyo kuingia katika uchaguzi wa pili wa mapema mwaka huu. Wabunge walipiga kura[…]

Waziri Lukuvi na Ujenzi Holela.

Serikali imeliambia Bunge kuwa inakusanya kodi kwa wananchi waliojenga na kukaa maeneo mbalimbali yakiwemo ya mabondeni, kwa kuwa wanatumia huduma za serikali ikiwemo za kijamii na miundombinu, hivyo ukaaji wao huko hauhalalishi kutolipa kodi. Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi,alikua akijibu swali la nyongeza la Zainab Mani Amri, mbunge wa CUF, aliyetaka[…]

ATCL yanufaika ziara za Rais Magufuli

Ziara ya siku saba iliyomalizika leo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dokta John Pombe Magufuli kwenye nchi tatu za ukanda wa Kusini mwa bara la Afrika imekuwa chachu ya kuimarika kiuchumi na kibiashara kwa Idara na makampuni mbalimbali ya kiserikali. Dhana hii imedhihirika kutokana na mafanikio lililoyapata shirika la ndege la[…]

Hatari ya Kipindupindu Kariakoo.

Siku Moja baada ya Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii Jinsia,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu kutangaza kuibuka kwa Ugonjwa wa Kipindupindu jijini Dsm, wafanyabiashara na wananchi katika eneo la Kariakoo mtaa wa sikukuu na Mchikichi wapo hatarini kupatwa na ugonjwa huo kutokana na kukithiri kwa utiririkaji majitaka ya vyooni. Wakizungumza na Channel Ten wakazi wa mtaa[…]

TBS imeanza mkakati wa kubaini wazalishaji wa vifaa vya ujenzi wanaokiuka masharti ya leseni ya ubora.

Shirika la viwango Tanzania TBS limeanza mkakati wa kubaini wazalishaji wa vifaa vya ujenzi wanaokiuka masharti ya leseni ya ubora waliopewa ambapo maafisa wa shirika hilo wanachukua sampuli za vifaa hivyo kwa lengo la kupima ubora wake na kwamba bidhaa itakayogundulika haina ubora mzalishaji atachukuliwa hatua. Akizungumza mkoani Mtwara wakati wakikagua vifaa vya ujenzi kwenye[…]