Wakazi wa Aicho wilayani Mbulu mkoani Manyara wamedai kuwa wanalazimika kutumia chanzo kimoja cha maji kisichokuwa salama wao na mifugo kutokana na kukosekana kwa huduma hiyo kwa kipindi kirefu sasa

Hali hiyo imebainika kwenye ziara ya waandishi wa habari na kampuni ya simu za mkononi Halotel yenye lengo la kuangalia hali ya upatikanaji wa mawasiliano ambapo wametumia fursa hiyo kuiomba serikali kuwafikishia huduma ya maji safi na salama kwani sasa wanapata magonjwa ya matumbo mara kwa mara kutokana na uchafu pamoja na wadudu waliomo ndani[…]

Naibu Waziri wa Madini DOTO BITEKO amemuagiza mkuu wa uhamiaji mkoani Mara kuhakikisha anawakamata na kisha kuwachukulia hatua kali za kisheria raia wa wanane wa Armenia na Urusi ambao wamekuwa wakiishi nchini na kufanya kazi kwa zaidi ya mwaka mzima bila vibali

Naibu Waziri wa Madini DOTO BITEKO amemuagiza mkuu wa uhamiaji mkoani Mara kuhakikisha anawakamata na kisha kuwachukulia hatua kali za kisheria raia wa wanane wa Armenia na Urusi ambao wamekuwa wakiishi nchini na kufanya kazi kwa zaidi ya mwaka mzima bila vibali rasmi katika mgodi wa Seka uliopo Musoma vijijini mkoani Mara. Naibu waziri BITEKO[…]

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameondoka nchini leo Oktoba 31 kuelekea nchini China kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa FOCAC

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameondoka nchini leo Oktoba 31 kuelekea nchini China kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC. Mkutano huo wa siku mbili unatarajiwa kuanza Jumatatu, Septemba 03, 2018 jijini Beijing nchini China, ambapo utafunguliwa na Rais wa China, Xi[…]

Kutokana na kukiuka maadili ya kazi, Idara ya Usafi katika manispaa ya Temeke DSM imewachukulia hatua vijana 7 waliopewa dhamana ya kusimamia usafi kwa kuwafukuza pamoja na kuhamisha wengine zaidi ya 30

Idara ya Usafi katika manispaa ya Temeke jijini Dar es salaam imesema imewachukulia hatua vijana 7 waliopewa dhamana ya kusimamia usafi kwa kuwafukuza pamoja na kuhamisha wengine zaidi ya 30 kutokana na kukiuka maadili ya kazi zao baada ya kubainika wanadai rushwa na kutumia nguvu kupita kiasi katika utekelezaji wa majukumu yao. Akizungumza baada ya[…]

Mwanafunzi mwingine apigwa na Kuzirai, Zaidi ya wanafunzi 50 wameandamana kwenda Ofisi ya mkuu wa Wilaya ya Geita kupinga kitendo hicho

Zaidi ya wanafunzi 50, wa kidato cha tano na sita katika shule ya sekondari Kalangalala mjini Geita wameandamana kwenda Ofisi ya mkuu wa Wilaya ya Geita kupinga kitendo cha mwenzao Jonathan Mkono wa kidato cha sita, kupigwa hadi kupoteza fahamu kinachodaiwa kufanywa na mwalimu. Tukio hilo limekuja ikiwa ni siku hache tu baada ya Mwanafunzi[…]

Ujenzi wa reli tatu barani Afrika washuhudia mchakato wa China na Afrika katika kukabiliana kwa pamoja matatizo na kutafuta maendeleo ya pamoja China inatajwa kama nchi inayofanya ujenzi kwa wingi zaidi wa miundo mbinu, na miradi

Ujenzi wa reli tatu barani Afrika washuhudia mchakato wa China na Afrika katika kukabiliana kwa pamoja matatizo na kutafuta maendeleo ya pamoja China inatajwa kama nchi inayofanya ujenzi kwa wingi zaidi wa miundo mbinu, na miradi mbalimbali ya ujenzi wa miundo mbinu ikiwemo reli ya TAZARA iliyojengwa katika miaka ya 1960 pia imeshuhudia urafiki kati[…]

Bobi Wine akamatwa uwanja wa ndege wa Entebe alipokuwa akijaribu kuondoka kwenda nchini Marekani kwa matibabu.

Mwanamuziki na Mbunge wa Jimbo la Kyaddondo Mashariki, Robert Kyagulanyi, maarufu kama Bobi Wine amekamatwa na polisi katika uwanja wa ndege wa Entebe alipokuwa akijaribu kuondoka kwenda nchini Marekani kwa matibabu. Bobi Wine alizuiliwa kupanda ndege na polisi ambapo alikuwa akienda nchini Marekani kuuguza majeraha aliyoyapata kutokana na kupigwa na polisi akiwa rumande. Baada ya[…]