Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya DSM limekiri Kumkamata na kumshikilia Mbunge Zitto Kabwe

Na katika hatua nyingine, Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya DSM limekiri Kumkamata na kumshikilia Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zito Kabwe kwa tuhuma za kutoa maeneo ya Uchochezi dhidi ya serikali pamoja na Chama tawala. Kamanda wa Polisi wa kanda hiyo Kamishna Msaidizi mwandamizi Lazaro Mambosasa amesema Zitto anatuhumiwa kwa nyakati tofauti kutoa maneno yanayodaiwa[…]

Wadau wameendelea kujitokeza Kumuunga Mkono RC Makonda ambapo Dar Coach Ltd imejitolea kutengeneza mabasi kumi Chakavu ya Jeshi la Polisi

Wadau mbali mbali wa maendeleo katika jiji la Dsm wameendelea kujitokeza Kumuunga Mkono Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Makonda ambapo Kampuni ya kutengeneza magari ya Dar Coach Ltd imejitolea kutengeneza mabasi kumi Chakavu yakiwemo ya jeshi la Polisi 4,Jeshi la wananchi 3 pamoja Magereza 3. Akizungumza wakati akikabidhi mabasi hayo kwa Mkurugenzi wa kampuni[…]

Siasa za Marekani na Njama za Rushwa, Mwenyekiti wa kampeni za Donald Trump matatani

Mjumbe wa tume maalum ya uchunguzi nchini Marekani, Robert Mueller na timu yake, wametangaza mashtaka ya kwanza dhidi ya Paul Manafort, aliyekuwa mwenyekiti wa kampeni ya Rais wa Marekani, Donald Trump, mshirika wa kibiashara wa Manafort, Rick Gates na aliyekuwa mshauri wa kampeni, George Papadopoulos. Mashtaka hayo ni pamoja na kutakatisha fedha haramu na njama[…]

Maandamano baada ya uchaguzi yameendelea jana nchini Kenya

Maandamano ya baada ya uchaguzi yameendelea jana nchini Kenya, huku waandamanaji wanaoipinga serikali wakipambana na polisi kwenye mji mkuu, Nairobi na mji wa Kisumu ambako ni ngome kuu ya upinzani, baada ya Uhuru Kenyatta kutangazwa mshindi wa uchaguzi mpya wa urais uliofanyika Oktoba 26 kwa kufanikiwa kupata asilimia 98 ya kura. Waandamanaji walichoma moto matairi[…]

RC Makonda akagua ukarabati wa Daraja la Malechela

Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Makonda amefanya ukaguzi wa ujenzi wa daraja la Malecela katika barabara ya Mwai Kibaki ambayo ilifungwa Alhamisi iliyopita kutokana na Mvua kubwa iliyonyesha kusababisha kukatika kwa barabara hiyo ambapo Mkandarasi anayesimamia ujenzi katika eneo hilo amemuhakikishia kuwa magari yangeanza kupita majira ya jioni kutokana na kukamilika kwa asilimia 80.[…]