Rais Magufuli ahitimisha ziara ya siku 6 Arusha, Aahidi kuendelea kutatua kero za wananchi

Rais John Pombe Magufuli leo amemaliza ziara yake ya siku 6 katika Mkoa wa Arusha. Akiwa njiani kuelekea uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) ,Rais Magufuli amesimamishwa na wananchi wa Sangsi , nje kidogo ya Jiji la Arusha na wananchi wa Pacha ya Kia Mkoani Kilimanjaro na kuwahakikishia kuwa Serikali itaendelea kutatua kero[…]

Bonanza la watoto Lindi, Afya na Ukakamavu vyawa kichocheo

Mkuu wa wilaya ya Lindi, Shaibu Ndemanga amemuagiza mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya pamoja manispaa ya mji wa Lindi kurejesha viwanja vyote vilivyotengwa kwa ajili ya michezo mashuleni ili watoto wapate fursa ya kuonyesha vipaji vyao ikiwemo michezo ya sanaa. Akihutubia wazazi na wanafunzi wa shule za msingi zilizo katika manispaa ya lindi leo,mara baada[…]

Madiwani wamestushwa na kuhoji ya kiwango cha matumizi ya mafuta katika kipindi cha miezi mitatu wilayani Uvinza

MADIWANI wa Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza, wamestushwa na kuhoji ya kiwango cha matumizi ya mafuta katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita huku wakitaka maelezo ya mchanganuo wa matumizi ya lita elfu 15 za mafuta. Hayo yameibuka katika kikao cha baraza la madiwani wa halmashauri hiyo mara baada ya madiwani hao kupitia taarifa ya idara[…]