Mgomo wa madaktari Kenya Madaktari wakataa nyongeza iliyopendekezwa

kenya-doctors-2

Viongozi wa chama cha Madaktari nchini Kenya kimekataa nyongeza ya mshahara iliyotanazwa na Serikali ya Kenya kupitria Rais Uhuru Kenyatta ambapo katika mkutano wao Jumanne Serikali iliazimia nyongeza ya mshahara ifikie angalau dola za marekani 560.

Uongozi wa chama hicho uliahidi kutangaza msimamo wao leo, ambao umesema pendekezo hilo linawafaa madaktari lakini bado kuna baadhi ya madai ya msingi ya wananchi ambayo Serikali imeyapa kisogo.

Katika makubaliano ya awali Rais enyata aliahidi kuongeza idadi ya madaktari, pamoja na kuongeza fedha za utafiti wa kimatibabu, dawa na vifaa na mitambo katika hospitali za umma huku madaktari nao wakihinikiza malipo yao yafanyike kama ilivyopitishwa mwaka 2013.

Facebook Comments