Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika aomba ushirikiano wa mikoa jirani Kudhibiti Ugonjwa wa Kipindupindu Mkoani Katavi

Watu watatu wamefariki dunia na wengine wamelazwa katika zahanati ya Karema iliyopo wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi kutokana na ugonjwa wa kipindupindu. Akithibitisha kutokea kwa ugonjwa wa kipindupindu mkuu wa wilaya ya Tanganyika Salehe Mwando amekiri kuwepo kwa ugonjwa huo katika wilaya hiyo na watu watatu kufariki dunia na themenini na nane kulazwa Aidha mkuu[…]

Manispaa ya Ilala yatiliana saini na mkandarasi, Ujenzi wa Barabara za Michepuko na Mifereji

Manispaa ya Ilala jijini dar es salaam jana imetiliana saini na kampuni ya Railway 7th Group kutoka china mkataba wa utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa barabara 5 za michepuko na mifereji chini ya ufadhili wa benki ya dunia lengo likiwa kusaidia kukabiliana na changamoto za miundombinu katika jiji hilo lenye takriban wakazi milioni tano[…]

Polepole asema CCM Inahitaji viongozi waliojikita katika imani ya chama

Chama cha Mapinduzi CCM kimesema kinatarajiwa kufanya mabadiliko makubwa katika safu yake ili kuwapata viongozi waliojikita katika imani ya Chama hicho hususan ya kupiga vita rushwa na Ufisadi ili kukirejesha chama hicho kwa wananchi kutoka ngazi ya chini ikiwa ndiyo msingi na lengo la kuanzishwa chama hicho. Katibu Itikadi na Uenezi Taifa wa Chama cha[…]